ukiwa kama mwanzilishi wa kampuni changa yawezekana hauna uzoefu mkubwa katika suala zima la kuomba zabuni, hivyo kuna vitu yawezekana unavikosa au huvijumuishi kaztika zoezi zima la uombaji tenda. Makala hii inalenga kukujulisha mambo makuu na muhimu kabisa ambayo hutakiwi kuyaacha kila uombapo zabuni katika taasisi mbalimbali: Mosi; mtangaza.
Recent Comments